Askofu mkuu wa PGMT ni Bishop Burton Saulo Yuda na sio Emanuel charles masanja huyu ni askofu wa jimbo la Mara mawasiliano ya askofu mkuu 0769032437/0784452470
Kanisa la PGMT linakua kwa kasi kwani Mungu analiongeza kwa sasa kanisa la PGMT limefungua tawi lake kwa mkoa wa Tabora eneo la Ng'ambo Konani na askofu Mkuu amemsimika mchungaji Frank Nestory Kamando kuwa mchungaji wa kanisa hilo.
Mkutano wa injili uliofanyika na kuhudumiwa na watumishi wa Mungu toka makao makuu ya PGMT iliyoko mkoani Katavi .
Mkutano huo ukiongozwa na Mch. Yusufu Domiciani ambaye ni kurugenzi wa idara ya vijana taifa wa kanisa la PGMT na alikuwa akisaidiana na Mwinjilisti Daudi Saulo Yuda wa kanisa hilo la PGMT
Huduma ya unabii inayotolewa na kanisa la Penueli Mpanda.
Bishop Burton ametabiri kuwa mwaka 2014 ni mwaka wa Bwana kufanya mambo makubwa katikati ya huduma ya PGMT.
AMEWATAKA WAUMINI WOTE WA KANISA HILO KUKAA MKAO WENYE BARAKA KUU TOKA KWA MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI.
KUTANO WA INJILI VIKONGE
Askofu mkuu Burton Saulo yuda akiwa amefuatana na viongozi wenzake katika kijiji hicho mkutano wa siku saba uliohubiriwa na mkurugenzi wa injili mchungaji Yohana Boazi na watu 89 waliokoka
UJUMBE WA LEO
Yesu ni yuleyule jana leo na hata milele. (1Corith 12:3)
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteAskofu mkuu wa PGMT ni Bishop Burton Saulo Yuda na sio Emanuel charles masanja
Deletehuyu ni askofu wa jimbo la Mara
mawasiliano ya askofu mkuu
0769032437/0784452470