PENUEL GLORIOUS MINISTRY OF TANZANIA

TANGAZO MUHIMU

MKUTANO WA HALMASHAURI KUU UTAKETI KWENYE UKUMBI WA MAKAO MAKUU KUANZIA TAREHE 23-24/10/2025 IBARA YA XI [ b ] III YA KATIBA YA THE PENUEL GLORIOUS MINISTRY OF TANZANIA Wajumbe wote wa mkutano wa Halmashauri Kuu mnaalikwa kufika makao makuu Mpanda Katavi tarehe 22/10/2025 . Agenda za Mkutano huu ni kama ifuatavyo 1. Kupitia na kusoma mpango mkakati wa miaka 10 kuanzia 2026 hadi 2036 2. kupitisha bajeti ya jumla ya kanisa la The Penuel Glorious Ministry of Tanzania Ni mimi ndugu yenu mtumishi wa Mungu mchungaji na askofu Mkuu Dr. Burton Saulo Yuda +255 763 506 761

0 comments:

Post a Comment