PENUEL GLORIOUS MINISTRY OF TANZANIA

MAOMBI

MAOMBI YA KULIOMBEA KANISA LA  TANZANIA
Kwa sasa kanisa limepoteza mwelekeo wake na limeancha njia sahihi
Kanisa limekumbwa na wimbi la watumishi wafanyabiashara wakitumia miujiza kama kigezo kikuu cha kufanya biashara zao kwa kutumia vifaa vya kubebea nguvu ya Mungu kama vile maji,mafuta ,chumvi nk.
kanisa limeacha kutumia neno la Mungu kama kifaa muhimu cha kubeba nguvu ya Mungu
Sasa kanisa letu litakuwa na maombi ya kumsihi Mungu ajidhihirishe kwenye neno lake kama kifaa muhimu sana ndani ya kanisa.

0 comments:

Post a Comment